Swahili subtitles for clip: File:Edit Button.ogv

Jump to: navigation, search
1
00:00:01,114 --> 00:00:02,414
Kipo kitufe cha "hariri".

2
00:00:02,530 --> 00:00:03,830
Bonyeza kitufe tu,

3
00:00:03,830 --> 00:00:06,664
tafuta mahali panapopatikana maandishi, uyabadilishe,

4
00:00:06,664 --> 00:00:09,110
halafu bonyeza "Hafadhi ukurasa". Ni rahisi tu.

5
00:00:09,752 --> 00:00:10,913
Uzuri wa Wikipedia ni kwamba

6
00:00:11,163 --> 00:00:12,236
unaweza kubadilisha yaliyomo.

7
00:00:12,236 --> 00:00:14,066
Hakuna haja ya kuomba ruhusa

8
00:00:14,066 --> 00:00:15,325
na si ngumu.

9
00:00:15,325 --> 00:00:17,809
Inaweza kuonekana kwamba ni ngumu,

10
00:00:17,809 --> 00:00:19,829
lakini si ngumu kwa kweli.

11
00:00:19,829 --> 00:00:23,777
Wengine hawajagundua hiyo.

12
00:00:23,777 --> 00:00:27,585
Wanasoma makala lakini hawaoni kitufe cha "hariri".

13
00:00:27,585 --> 00:00:29,721
Bonyeza tu kitufe kile, na angalia itakavyotokea.

14
00:00:29,721 --> 00:00:31,625
"Hariri."

15
00:00:31,625 --> 00:00:34,040
Utakapokuwa tayari kuthubutu kitu kipya,

16
00:00:34,040 --> 00:00:35,433
na unaanza kuhariri,

17
00:00:35,433 --> 00:00:38,289
mambo mengine mazuri yanaweza kufuatana nayo.

18
00:00:38,289 --> 00:00:40,124
Yaani, kuanza kuhariri

19
00:00:40,124 --> 00:00:41,679
kunaweza kuwa

20
00:00:41,679 --> 00:00:45,139
kianzio cha kupanua maisha yako.

21
00:00:45,139 --> 00:00:48,018
Makala inapoanzwa, mara

22
00:00:48,018 --> 00:00:49,597
nyingi haipendezi.

23
00:00:49,597 --> 00:00:53,614
Lakini ukisubiri tu, utaona kwamba

24
00:00:53,614 --> 00:00:56,842
itazidi kuwa makala nzuri.

25
00:00:56,842 --> 00:00:59,396
Bonyeza kitufe cha "hariri", na utabadilisha mambo,

26
00:00:59,396 --> 00:01:02,043
hifadhi ukurasa ule, na umefanya kitu cha manufaa ya wote.

27
00:01:02,043 --> 00:01:04,203
"Hifadhi".