User:Yusuph de brave

From Wikimedia Commons, the free media repository
Jump to navigation Jump to search

Yusufu Said Muramba known as Yusuph de brave is a Radio Personality from Tanzania and he was born March 13 1996 Bunda Mara Tanzania the other names is well know as Golden Presenter

Yusuph de brave

'Born : March 13'Year  : 1996

Place : Bunda Mara Tanzania

Job[edit]

anafanya kazi katika kituo cha habari Kiss Fm Pia amekuwa akifahamika zaidi kwa kutoa taarifa kwenye blogu yake Bravetvonline kwa habari za burudani na Michezo, Yusufu amepata umaarufu mkubwa kwa kuwa miongoni mwa watangazaji wakuaminika kwa kutoa taarifa katika mitandao ya kijamii. Mwaka 2015 alishiriki masbindano ya utangazaji yaliyoandaliwa na Clouds Fm na hakufanikiwa kushinda na baadae kujikita katika mitandao ya kijamii hususani instagram kwa kuonyesha uwezo wake na kufanikiwa kupata kazi ya kujitolea katika kituo cha habari Kiss Fm kilichopo Dar es salaam .